Bwana Ni mchungaji Lyrics
Bwana Ni Mchungaji wangu
Sitapungukiwa Kitu
Hulaza kwenye majani mabichi
Hunongoza Kwa maji Matulivu
Hunihuisha nafsi yangu
Huniongoza kwa njia Za Haki
Nipitapo bondeni mwa mauti
Sitaogopa wewe u nami
Hakika wema nazo fadhili
Zita nifuata mimi
Nitakaa Nyumbani
Mwa bwana
Siku zote za maisaha yangu
Hakika wema nazo fadhili
Zita nifuata mimi
Nitakaa Nyumbani
Mwa bwana
Siku zote za maisaha yangu
Gongo lako na Fimbo yako
Vinanifariji mimi
Huandaa meza
Mbele yangu
Machoni pa watesi wangu
Hakika wema nazo fadhili
Zita nifuata mimi
Nitakaa Nyumbani
Mwa bwana
Siku zote za maisaha yangu
Hakika wema nazo fadhili
Zita nifuata mimi
Nitakaa Nyumbani
Mwa bwana
Siku zote za maisaha yangu
Hakika wema nazo fadhili
Zita nifuata mimi
Nitakaa Nyumbani
Mwa bwana
Siku zote za maisaha yangu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Bwana Ni mchungaji (Single)
Copyright : ©2019
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE