Home Search Countries Albums

Niacheni

OTILE BROWN

Niacheni Lyrics


Maneno yatanichoma moyo
Ila hayawezi kunizui
Ungeshanitoa roho neno lako lingekua sheria
Tena nidhairi unanichukia
Japo sijui ni kwa nini
Mana sababu zangu zakuoundoka unazijua
Tena nizamsingi oh yeah ehh
Tatizo Hisia zangu haziheshimiwi
Mama Nakujuwaa
Usijafanye eti hujui
Tatizo mimba yangu ulioitoa
Niacheni msione nipo kimya
mwenzenu nina mengi
Wacha nilie na moyo wangu
Maneno mimi sipendi
Niacheni msione nipo kimya
mwenzenu nina mengi
Wacha nilie na moyo wangu
Maneno mimi sipendi

[CHORUS]
I will do … better, do…. better
I will do… better
I will do … better, do ….better
I will do better

Tena hauna shukran
Utasemaje sikukupenda eeh wewe
Nikutumie kwa msingi gani
Wakati ulinikuta na tesa eeeh hmmm
Nlivyokupenda na shidi zako mama (ayaya)
Na madhaifu yako mama (aya)
Nikapigana ata vita vyako mama
Nikuridhie…
Nlivyokupenda na shidi zako mama (ayaya)
Na madhaifu yako mama (aya)
Nikapigana ata vita vyako mama
Nikuridhie…
Niacheni msione nipo kimya
Mwenzenu nina mengi
Wacha nilie na moyo wangu
Maneno mimi sipendi
Niacheni msione nipo kimya
Mwenzenu nina mengi
Wacha nilie na moyo wangu
maneno mimi sipendi

[CHORUS]
I will do … better, do…. better
I will do… better
I will do … better, do ….better
I will do better.
I will do better
Ama do Better…

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Niacheni (Single)


Added By : Noella Noupeb

SEE ALSO

AUTHOR

OTILE BROWN

Kenya

Otile Brown real name Jacob Otieno Obunga (born on 21st March 1994) is an urban contemporary musicia ...

YOU MAY ALSO LIKE