Home Search Countries Albums

Baby love

OTILE BROWN

Read en Translation

Baby love Lyrics


Dhamani yako
Uzuri wako
Naujua mwenyewe
Sikuachi pengine uniache wewe
Raha ili mradi unanipenda
Peke yetu tutaishi kwenye dunia
Sikuachi
Pengine uniache wewe

We ni jiko
Wewe jiko langu mama
Mboni ya macho yangu
Nitakulinda mpenzi wangu
We ni jiko
Wewe jiko langu mama
Mboni ya macho yangu
Nitakulinda mpenzi wangu

Achana nao (nao)
Achana nao (nao)
Uuuuh Achana nao
Hao wenye roho mbaya
wanatusema vibaya
Baby love
Wewe wangu mimi wako wa moyo
Oooh baby love
Usije niacha kwa fitina  
Na maneno yao
Baby love wewe wangu mimi
wako wa moyo
Oooh baby love
Usije niacha kwa fitina  
Na maneno yao

Huna habari jinsi gani moyo
Wangu unaupendeza
Wene ndio furaha yangu
wewe ndo wa maini yangu
wewe ni jiko
jiko langu mama
Mboni ya machoa yangu
Nitakulinda mpenzi wangu
wewe ni jiko
jiko langu mama
Mboni ya machoa yangu
Nitakulinda mpenzi wangu

Achana nao (nao)
Achana nao (nao)
Uuuh achana nao
Hao wenye roho mbaya
Wanatusema vibaya
Achana nao (nao)
Achana nao (nao)
Uuuh achana nao
Hao wenye roho mbaya
Wanatusema vibaya

Baby love
Wewe wangu
Mimi wako wa moyo
Oohh baby love usije niacha
Kwa fitina na maneno yao
Baby love
Wewe wangu
Mimi wako wa moyo
Oh baby love usije niacha
Kwafitina na manero yao
Baby love
Wewe wangu
Mimi wako wa moyo
Oh baby love usije niacha kwafitina
Na manero yao
Baby love
wewe wangu
mimi wako wa moyo
Oh baby love usije niacha kwafitina
Na manero yao
Jiko jiko langu mama
Mboni ya macho yangu
Nitalinda mpezi wangu

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Baby Love (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

OTILE BROWN

Kenya

Otile Brown real name Jacob Otieno Obunga (born on 21st March 1994) is an urban contemporary musicia ...

YOU MAY ALSO LIKE