Home Search Countries Albums

Jirani Yangu

GUARDIAN ANGEL

Jirani Yangu Lyrics


Wame badilishwa jina, wanaitwa farasi
Ati safari ya uongozi, ni farasi wawili, woiii
Ona vile chuki na matusi yanakuja kwa kasi
Wale wanatafuta kazi tunapigana sisi, woiii woiiii
We wecha, achana na mambo ya chuki
Uyo jirani yako unashukiana nae
Ndo ukipata shida mtabaki na yee, nasema
We wecha, wachana na mambo ya vita
Vita vya nini kati yangu mimi na wewe
Jirani yangu mimi na wewe
Wecha, achana na mambo ya matusi
Uyo jirani yako mnatukanana nae
Ndo ukipata shida mtabaki na yee, nasema
Wecha, achana na mambo ya chuki
Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe
Jirani yangu mimi na wewe

Kabla ya siku za kampeni mlionana nae mwisho lini
Unavurugana na wenzako juu ya nini
Wale mnaishi nao kijini iiyeh
Yoh mungu ndo anapeana uongozi
We piga kura wachia yume ya uchaguzi
Ndo yao kazi wacha wafanye iyo uamuzi
Tafta jirani badla ya kuchomana chomeni ka mbuzi
Tutavurugana huku chini
Watuone kwa televisheni
Wakosa akili uwaneni tumeshi waweka mfukoni
Tutavu ugana uku chini
Watuone kwa televisheni
Wakosa akili uwaneni tupatane tena uwanjani
Baada ya miaka tano jengeni urafiki mtakosana tena
Baada ya miaka tano tupatane tena uwanjani
Baada ya miaka tano jengeni urafiki mtakosana tena
Baada ya miaka tano tupatane tena uwanjani

We wecha, achana na mambo ya chuki
Uyo jirani yako unashukiana nae
Ndo ukipata shida mtabaki na yee, nasema
We wecha, wachana na mambo ya vita
Vita vya nini kati yangu mimi na wewe
Jirani yangu mimi na wewe
Wecha, achana na mambo ya matusi
Uyo jirani yako mnatukanana nae
Ndo ukipata shida mtabaki na yee, nasema
Wecha, achana na mambo ya chuki
Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe
Jirani yangu mimi na wewe

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Jirani Yangu (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

GUARDIAN ANGEL

Kenya

Audiphaxad Peter, better known as Guardian Angel, is a Gospel afrorap and dancehall singer and Songw ...

YOU MAY ALSO LIKE