Mwema Lyrics

Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa
Utendayo ni mema sisi tunakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema Sisi tunakupa sifa
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema Sisi tunakupa sifa
Heshima na adhama ni zako Utukufu na nguvu zina wewe Bwana
Heshima na adhama ni zako Utukufu na nguvu zina wewe Bwana
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Ooooh ooooh oooh oooh
Bwana sisi twapenda kulisifu jina lako
Bwana tuna sababu ya kuimba sifa zako
Umetutendea ukarimu mwingi
Umetukumbuka wakati wa dhiki
Bwana pokea sifa za mioyo yetu
Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili
Bwana pokea sifa za mioyo yetu
Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili
Bwana sisi twapenda kulisifu jina lako
Bwana tuna sababu ya kuimba sifa zako
Umetutendea ukarimu mwingi
Umetukumbuka wakati wa dhiki
Bwana pokea sifa za mioyo yetu
Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili
Bwana pokea sifa za mioyo yetu
Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili
Ooooh ooooh oooh oooh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Mwema (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
NEEMA GOSPEL CHOIR
Tanzania
Neema Gospel Choir is a group of born again Christian Singers, members of Africa Inland Church (AICT ...
YOU MAY ALSO LIKE