Home Search Countries Albums

Kwani Unaogopa

NAY WA MITEGO

Kwani Unaogopa Lyrics


Kalio ooh! weeh! (Aah! weeh! imeisha iyo)
Kalio ooh! (Aah! weeh! imeisha iyo)

Kama unadanga danga umalaya si kazi yako (Kwani unaogopa)
Kama unawanga wanga uchawi si kazi yako (Kwani unaogopa) 
Twende bar ya jeshi tulewe harafu tuanzishe fujo (Kwani unaogopa)
Wee ni mwizi si kazi yako iba mpaka polisi (Kwani unaogopa)

Kalio ooh! weeh! (Aah! weeh! imeisha iyo)
Kalio ooh! (Aah! weeh! imeisha iyo)

Wee ni mlevi na unapenda pombe 
kunywa mpaka uzime (Kwani unaogopa)
Una hamu na huna demu beba goma la mtu (Kwani unaogopa)
Pisi kali harafu upo single si uibe mume wa mtu (Kwani unaogopa)
Wee ni heater una chuki onyesha roho ya kutu (Kwani unaogopa)

Kalio ooh! weeh! (Aah! weeh! imeisha iyo)
Kalio ooh! (Aah! weeh! imeisha iyo)

Malaya piga kelele eeh!
Wahuni piga kelele eeh!
Utamu wa pombe ulewe eeh
Raha ya mziki ucheze eeh!

Cheza  aah! (Aiih!)
Cheza aah! (Aiih!)
Cheza aah (Aiih!)
Cheza aah! (Aiih!  weeh!)
Cheza aah (Aiih!)
Cheza aah (Aiih!)

Mama! aiyeye yeye yeye yeah! aah!
Aah! mziki raha bhana,si mnaenjoy 
Haya twende turudi
Twende eeh!,chini chini chini (Twende)
Juu, juu, juu ,juu
Aah! yeah eeh! aah! haha,aah! okay

Okay the true name 
On the big joy kudadeki (Kalio ooh!)
Mnasema kweli  (Aah! weeeh! imeisha hiyo)

(Free Nation)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Kwani Unaogopa (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

NAY WA MITEGO

Tanzania

Emmanuel Elibariki, popularly known as Nay Wa Mitego, or simply  Mr Nay,  is a Tanzanian r ...

YOU MAY ALSO LIKE