Home Search Countries Albums

Vimba

NACHA

Vimba Lyrics


Kama we ni noma na sisi ni noma
Kama we una vimba na sisi tunavimba

Iih
Acha tantalilaa, si timamu sio matahira
Oya, acha roho za hila
Saka chako acha hasira hasira
Ndio na sisi tulivyo ni mshiko
Uyonge kwetu ni mwiko
Kutubu tubu hatuko hivo
Kama hatuna hatuna kujipendekeza no
Iih
Sasa unadhani anakuogopa nani eti
Tuliamua busara kuiweka ndani
Tukisema tupandishe vya kichwani
Unadhani kuna mtu atakaa hapa kwani
Kwaiyo we ni mwanba eehh
We ni mmbabe sio
Si wengine ni mafala au sio
Okay sasa unyonge tumechoka
Okay sasa unyonge tumechoka
Ukivimba tunavimba kama noma iwe noma

Kama we  ni noma
Na sisi ni noomaaa
Kama we una vimba
Na sisi tunavimba
Haya mwendo wan doo za maji
Vimba vimba vimba
Si wenyewe mabigwa bingwa bingwa

Oya mwanaume hamtegemei mwanaume
Mwanamke hujituma hamgojii mwanaume
Ndio maana kila siku naiogopa kesho
Napunguza marafiki wanaojiona spesho
Binadamu mwenye akili huishi kwa malengo
Ukiona bar na mademu huo ni mtego
Ni kazi kumuelewesha mjinga
Ambae anahisi kila vita ni ya kushinda
Heshima zetu tunalinda
Mpaka tumekuwa hapa kaka vingi tumeshinda
Kwaiyo we ni mwanba eeh
We ni mmababe sio
Si wengine ni mafala au sio
Okay sasa unyonge tumechoka
Okay sasa unyonge tumechoka
Ukivimba tunavimba kama noma iwe noma

Kama we  ni noma
Na sisi ni noomaaa
Kama we una vimba
Na sisi tunavimba
Haya mwendo wan doo za maji
Vimba vimba vimba
Si wenyewe mabigwa bingwa bingwa
Kama we  ni noma
Na sisi ni noomaaa
Kama we una vimba
Na sisi tunavimba

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Vimba (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

NACHA

Tanzania

Nacha Ousam is a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE