Home Search Countries Albums

Tunapendeza

IBRAAH Feat. HARMONIZE

Tunapendeza Lyrics


Mmh mmh mmh
Mmh mmh mmh
Chingaa
Yaw yaw
Mmh mmh mmh
Mmh mmh mmh

Kama mapenzi yangekua nyumba wewe mchanga mimi tofari
Acha waseme umenifanyia ndumba
Mie hata sijali
Mama nisipo kupenda wewe nitampenda nani niambie
Yani kama nisipo kupenda wewe ntampenda nani niambie

Aah mjeshi kamanda na nyota Ila kwenye mapenzi nasota
Usiku nikilala nakuota nakuota wewe hapo
Mjeshi kamanda na nyota Ila kwenye mapenzi nasota
Usiku nikilala nakuota nakuota wewe hapo
Pancha mi moyo wangu pancha bila we mi siwezi tembea, siwezi tembea
Usije ukaniacha babe ukaniacha, wanafki watanizomea watanizomea

Mimi na wewe tuu uuuh
Tunapendeza tunapendeza
Mimi na wewe tuu uuuh
Tunapendeza tunapendeza
My baby boo uuuuh
Tunapendeza tunapendeza
And me and you uuuuh
Tunapendeza tunapendeza

Ukiwa mbali nakumiss upweke si jambo rahisi
Jichunge maa kuna ibilisi mmmh
Tunavyogombana kesho tukapatana kipimo tosha tunapimana
Kiasi gani tunapendana eeh
Tunavyogombana kesho tukapatana kipimo tosha tunapimana
Kiasi gani tunapendana eeh
You’re you
You’re the one am going to marry you
Uwe wa halali uwe wangu tu
Umenipa pancha pancha mi moyo wangu pancha
Bila we siwezi tembea siwezi tembea
Usije ukaniacha baby ukaniacha
Wanafki watanizomea watanizomea

Mi na wewe tuu uuuh
Tunapendeza tunapendeza
Mi na wewe tuu uuuh
Tunapendeza tunapendeza
My baby boo uuuuh
Tunapendeza tunapendeza
Am me and you uuuuh
Tunapendeza tunapendeza
Tunapende tunapendeza
Aah chinga

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Tunapendeza (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

IBRAAH

Tanzania

IBRAAH real name Ibrahim Abdallah Nampunga (born 3rd July 1998) is an artist, singer, ...

YOU MAY ALSO LIKE