Home Search Countries Albums

A Town Lyrics


Nakuja mdogo mdogo kama kobe
Na style ya zamani kama shabani madobe
Unga unga mwana wakiniskia lazima walobe
Mchawi wa michano ngoja kwanza niwaloge
Waniniita publick figure, figure
Mimi kwenye publick shida, shida
Unaweza niita puff didy jigga, jigga
Abbas bigidi kubaf mi ni mwiba
Hizi flow hata sijui nilipotoa, zilikuja ni gift
Na nikianzaga ku flow huwa najikuta ni fifty, go
Kuwa makini hapa umekuja kibiti
Na kama unahasira na mimi kunya tikiti
Wana hofu kama wako  nyuma ya polisi wanakula kaya
Au wanangoja kutajwa kwenye list ya dudu baya
Maisha ndo haya, so inabidi uyalinde
Inabidi uchezeshe kama msondo au sikinde, inde
Inde morning
Kama udokozi wa sukari we muulize jonii
Kama mwokozi hajapenda huwezi fika morning
Ask mama ako baba ako so mwingine ndo mii

A town wamenivisha crown
Nakuja kama king mi na run this town
A town wamenivisha crown
Nakuja kama king mi na run this town yooh
A town yooh
Mi na run this town yooh
A town yooh
Mi na run this town

Bom ndo naanza kulipua
Ujue kabla ya vimada si tulianza kujichua
Kwenye kukua si hatukula ganja tulishtua
Kwamba ntakuawa star siku ya kwanza tu nilijua
Thay’s why, am too expensive ku apear
Kwenye party zenu na kuishia kunywa bia
Am the all time best rapper in Tanzania
Nahitaji dili za kulipa bili kama mia
Hip hop hailipi wakati imetoa wabunge
Imetoa ma dc, imetoa vingunge
Hujaona wenye shida wewe ungesema kumbe
Mshkuru sana mungu pumzi haulipi hata punje
Tulianza far, uliza leboo na kibacha
Kabla ya kings ya raf mcee sight more mi na pacha
We ni mwana hip hop au mwana wa don masha
Kama nlikuchana uka min we haufanyi for the culture
Siogopi nikiskia kuna rapper yupo top ten
Najua kazi si kuhit ni ku maintain
Njaa ndo iliniangusha kwenye balcon
Na walionicheka ndo saa hii wananiona icon
Me ama hustler daily am get busy
Mungu ni mnene ila sio gentries
Ita hizo tumbili hapa niwagee ndizi
Usinipe doo my brother nigee bizzy

A town wamenivisha crown
Nakuja kama king mi na run this town
A town wamenivisha crown
Nakuja kama king mi na run this town yooh
A town yooh
Mi na run this town yooh
A town yooh
Mi na run this town
A town wamenivisha crown
Nakuja kama king mi na run this town
A town wamenivisha crown
Nakuja kama king mi na run this town yooh
A town yooh
Mi na run this town yooh
A town yooh
Mi na run this town

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Baba Ako (EP)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

MOTRA THE FUTURE

Tanzania

Motra The Future is a rapper from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE