Bambam Lyrics
Unanipa raha usiache nipa raha, leta raha
Unamfikisha hadi Zanzibar shamba
Umevimbisha kichwa cha jimake cha nanga
Soma picha picha wazi umejipanga
Hupendi feature feature mzazi nimesanda
Hauniuzii mbuzi kwa gunia (nie)
Haunimei juzi umenizidai (dia)
Wema mie fundi naujulia (lia)
Hautumii nikawa na gundi unanipatia
Mmmh hakika umenifaa
Siwezi pita mie nitakaa
Na ukiniita bebi mimi najaa
Siwezi bisha nitawa kichaaa
Mimi nimeona wengi
Ila me kwako nimefika wewe
Mie kwako sijiwezi
Lako penzi dawa yangu beiby
Mimi na wewe dam dam, dam dam
Mimi na wewe dam dam
Mimi na wewe dam dam
Mambo yetu bam bam
Mimi na wewe dam dam, (mimi na wewe)
Mimi na wewe dam dam
Mimi na wewe dam dam
Mambo yetu bam bam
Ni kama Rambo na Julieti (na Julieti), mi na wee
Mficha siri zangu nyeti (zangu nyeti), wakunyumba wee
Hodari wa mapenzi (aaah) jicho nusu mwezi ukinyuta
Si kigundu mtembezi, kutoshinda ndani ameng'ona
Kidudu mapenzi kweli, nani ananinyevua
Aah mapenzi ya kweli, kwako ndo nimeyajua eeh
Mimi nimeona wengi
Ila me kwako nimefika wewe
Me kwako sijiwezi
Lako penzi dawa yangu beiby
Mimi na wewe dam dam, dam dam
mimi na wewe dam dam
mimi na wewe dam dam
mambo yetu bam bam
Mimi na wewe dam dam, (mimi na wewe)
Mimi na wewe dam dam
Mimi na wewe dam dam
Mambo yetu bam bam
Ninachokupendea huna makeka, huna papara (aaaah)
Unanipa raha usiache nipa raha, leta raha (aaaah)
Ninachokupendea huna makeka, huna papara (aaaah)
Unanipa raha usiache nipa raha, leta raha (aaaah)
Unanipa raha kunakuzi
Hauna njaa tamaa hauna makuzi
Unanifahamu mama umekaa ka uchuji
Ungenikataa ningekaza uzi
Kabisa kwako nimefika mambo ni bam bam
Kakika kila ukiniita mimi nakam kam
na napo itika wazo umeshika hela jam jam
Na kwa sifa nalipachisha kwa zam zam
Isitoshe hauniboi haunichoshi
Vipi nikose kuenjoy na hapatoshi
Bosi we binti vichungu haunilishi
Na sisi si wavumbua jumbu ila ni wapishi
Mimi na wewe dam dam, dam dam
Mimi na wewe dam dam
Mimi na wewe dam dam
Mambo yetu bam bam
Mimi na wewe dam dam, (mimi na wewe)
Mimi na wewe dam dam
Mimi na wewe dam dam
Mambo yetu bam bam
Unanipa raha usiache nipa raha, leta raha
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Copyright : No copyright Information
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
FID Q
Tanzania
Fid Q, born Fareed Kubanda on the 13th of August 1982 in Mwanza, Tanzania, is a popular Bongo F ...
YOU MAY ALSO LIKE