Unavimba Lyrics

Kama unaigiza huwezi chill nasi
Nashangaa unaagiza unatuletea Billnas
Nazama chumvini mpaka upinza tena mwendo kasi
Na videm vikikatiza navikata bila mkasi
Napata title bila beka
Kwenye microphoni nateta
Macho kwenye paper mi nafight kueleweka
Ukitaka money, acha niwagee
Mwambie Vanny, mjini mi na nesa na Mdee
Siko smart kama phoni
Beep kama honi
Sina mbio ka jogooni
Pia naswing ka mtoni(Wee)
Nigga nawazoom kwenye mboni
Wenye sumu za mdomoni
Nazuga siwaoni
Hahaha unavimba
Dacha wewe unatamba
Aaah unatamba
Dacha madayo wem unatamba
Wanaokuwa mnachonga basi cool down
Mnakaba sehemu za nyeti mpaka kwenye **
Kitambo kula ukoko kwetu burudani
Natembea kwa ungoko leo Sultan
Sio sio matatizo wala kesi
Usilete izo leta bizness
Ni we na mshiko sio na stress
Mpaka mwisho yatam-bless
Siko smart kama phoni
Beep kama honi
Sina mbio ka jogooni
Pia naswing ka mtoni(Wee)
Nigga nawazoom kwenye mboni
Wenye sumu za mdomoni
Nazuga siwaoni
Hahaha unavimba
Dacha wewe unatamba
Aaah unatamba
Dacha madayo wem unatamba
Usipande, ndege kwa mbele ama punda kwa nyuma
Utajikuta kuguna huku uso umenuna
Ni kweli sijakosea najua kinachofuatia
Wanaocheka ukikosea, ndio wanaonuna ukimpatia
Vimba tu maana sio rahisi
Umejitahidi sana, leo umeishi umewini
Na unajua maana ya kufaulu
Na sasa idea za wenzio uzifaidi
Siko smart kama phoni
Beep kama honi
Sina mbio ka jogooni
Pia naswing ka mtoni(Wee)
Nigga nawazoom kwenye mboni
Wenye sumu za mdomoni
Nazuga siwaoni
Hahaha unavimba
Dacha wewe unatamba
Aaah unatamba
Dacha madayo wem unatamba
Dacha bwana
Producer mnoma kuliko wote duniani
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Unavimba (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MKALI WENU
Tanzania
Jackson Supakila aka Mkali Wenu is a Tanzanian actor, comedian, Musician & MC. ...
YOU MAY ALSO LIKE