Vigeregere (Gere parody) Lyrics
Hamorapa hatukuoni au usharudi Bugani
Jana kuna nyani nilimuona nikadhani ni wewe
Tumekumiss jamani, Insta hauonekani
Bora ata kiki ya meja ungefanya tu wewe
Oooh your sweet --
Sory--
And baby right bear for me
And show me that you are mine
Am gonna cry fo yah
Or - place gun on yah
And beiby take your time to me
And river -- flow out
Kaka Ommy Dimpoz tuonyeshe shemeji bwana
Wanayasema mi inaniuma
Eti Daza wewe unasafiri sana
Marekani mambele
Yaani usiku mchana
Napenda sana kukandamizana
Nikuonyeshe baba anachompa mama
Ila usipige kelele
Wote tupige, vigere gere
Vigere gere, vigere gere
Hakuna kununa
Vigere gere, vigere gere
Vigere gere, vigere gere
Hakuna kununa
Don't ever baby sorry
Eti -- beiby ni simple
Mama mkwe home roporopo
Ni mswahili tena mwenye choko choko
And better --
Nimebarikiwa ndogo
Asubuhi sipigi kimoko
Oooh mama kasema
Mkali mwanangu watie mimba
Oooh watie mimba
Eeeh niwatie mimba
Videmu vinavyodanga
Vicheche nivitie mimba
Oooh nivitie mimba
Vyote nivitie
Asa beiby inabidi
Unakuja usiku bwana
Hizo lawama ila itazama
Ah nikupige chenga huko kwa nyuma
Ila usipige kelele
Yaani usiku mchana
Napenda sana kukandamizana
Nikuonyeshe baba anachompa mama
Ila usipige kelele
Wote tupige, vigere gere
Vigere gere, vigere gere
Hakuna kununa
Vigere gere, vigere gere
Vigere gere, vigere gere
Hakuna kununa
I say say sorry...
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Vigeregere (Gere parody) (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MKALI WENU
Tanzania
Jackson Supakila aka Mkali Wenu is a Tanzanian actor, comedian, Musician & MC. ...
YOU MAY ALSO LIKE