Falalala Lyrics

Take all -- falalala lalala
This is the season to be jolly, falalala lalala
Zawadi nzuri onyesha upendo, falalala lalala
Nyumba ipendeze kwa mapambo, falalala lalala
Falalala lalala
Falalala lalala
Tutume kadi za upendo, falalala lalala
Huu ni msimu wa furaha, falalala lalala
Onyesha cheko na tabasamu, falalala lalala
Zitume kwa ndugu salamu, falalala lalala
Falalala lalala
Falalala lalala
Falalala lalala
Falalala lalala
Tupeane mkono wa heri, falalala lalala
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Christmas with Mimi Mars (EP)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MIMI MARS
Tanzania
Mimi Mars ( Marianne Mdee) is a singer and song writer from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE