Home Search Countries Albums

Niroge Lyrics


(Nahreel on the beat)
Hmmmm… Hmm hmmm… hey yeaaaah! Eh

Raha ya nyumba mwanaume
Wacha nikutunze
Nyumba yetu tuipambe
Hapo nyuma tulishindiaga mabwende
Karanga na Makande
Nguru Ugali dona sembe

Usinune kwa maneno ya majirani (wanoko)
Hawaishi (longo longo)
Vimaneno kama (viroboto)
Wanakesha wakiomba unichapege mkongoto
Jamani sielewi
Baby you are ...

[CHORUS]
Ukimuona... Furaha tele moyoni
Nikimuona... Tabasamu usoni
Ukimuona... Furaha tele moyoni
Nikimuona... Tabasamu usoni
Naomba uniroge, Naomba uniroge
Naomba uniroge, Kwani mapenzi matamu
Naomba uniroge, Naomba uniroge
Naomba uniroge, Sikusifii

[VERSE 2]
We mwanaume nguzo.
Ulishindaga vikwazo
Tangu Mwanzo
Ulipambana na wenye nazo
Ili niwe mali yako
Leo, kula vyako
You're my dream, in my life
Hata mi moyoni we ndiyo unanifaa.

Usinune kwa maneno ya majirani (wanoko)
Hawaishi (longo longo)
Vimaneno kama (viroboto)
Wanakesha wakiomba unichapege mkongoto
Jamani sielewi
Baby you are ...

[CHORUS]
Ukimuona... Furaha tele moyoni
Nikimuona... Tabasamu usoni
Ukimuona... Furaha tele moyoni
Nikimuona... Tabasamu usoni

Naomba uniroge, Naomba uniroge
Naomba uniroge, Kwani mapenzi matamu
Naomba uniroge, Naomba uniroge
Naomba uniroge Kwani mapenzi matamu

To the left, to the right (spending my life)
To the left, to the right (spending my life)
To the left, to the the right, (spending my life)
To the left kwani mapenzi matamu
To the left, to the right (spending my life)
To the left, to the right (spending my life)
To the left, to the the right, (spending my life)
To the left kwani mapenzi matamu

[CHORUS]
Ukimuona... Furaha tele moyoni
Nikimuona... Tabasamu usoni
Ukimuona... Furaha tele moyoni
Nikimuona... Tabasamu usoni
Naomba uniroge, Naomba uniroge
Naomba uniroge, Kwani mapenzi matamu
Naomba uniroge, Naomba uniroge
Naomba uniroge, Kwani mapenzi matamu

To the left, to the right
To the left, to the right
To the left, to the right
To the left, to the right
To the left, to the right
To the left

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2016


Album : Niroge (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

VANESSA MDEE

Tanzania

Hau Vaness Mdee also referred to as Vee Money, is a Tanzanian recording artist, songwriter and youth ...

YOU MAY ALSO LIKE