Sitamani Lyrics

Sifikirii mangapi nafanya
Kukuridhisha baba we
Sitamani kuwa na we tena tena aaah
Na vile minimefundwa vyema
Nikavumilia kua nawe
Nimeamini wahenga lisema sema aah
Vyema kupenda ukipendwa
Penda unapopendwa mpendwa
Usiyependa usipopendwa mpendwa aaah
Sitamani tena kupenda
Nilishapenda na kutendwa
Sitopenda nisipopendwa tena aah
Sitamani ... Sifikiri
Usidhani ... Kuwa nami
Kukupenda nikupende boy
Ila ukaniona mi kama kolo
Unavyotaka sitoweza boy
Mifupa siwezi mwenzio kibogoyo
Kukupenda nikupende boy
Ila ukaniona mi kama kolo
Unavyotaka sitoweza boy
Mifupa siwezi mwenzio kibogoyo
Vyema kupenda ukipendwa
Penda unapopendwa mpendwa
Usiyependa usipopendwa mpendwa aaah
Sitamani tena kupenda
Nilishapenda na kutendwa
Sitopenda nisipopendwa tena aah
Sitamani ... Sifikiri ...
Usidhani ... Kuwa nami ...
Sitamani Eeeh yeah yeah
Sitamani Eeeh Sitamani Eeeh yeah yeah
Sitamani Eeeh
Vyema kupenda ukipendwa
Penda unapopendwa mpendwa
Usiyependa usipopendwa mpendwa aaah
Sitamani tena kupenda
Nilishapenda na kutendwa
Sitopenda nisipopendwa tena aah
Sitamani ... Sifikiri ...
Usidhani ... Kuwa nami ...
S2kizzy baby
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Sitamani (Single)
Added By : Afrika Lyrics
SEE ALSO
AUTHOR
MIMI MARS
Tanzania
Mimi Mars ( Marianne Mdee) is a singer and song writer from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE