Jiachie Lyrics

Uzuri unataka pochi
Funga mkanda
Ayeyeye, ayeyeyeye
Nati inataka bolti
Piga spanner
Ayeyeye, ayeyeyeye
Amka katika katika
She is a party party girl
Amka katika katika
She is a party party girl
Naji achi achi achi, achilia
Nyama nyoro
Naji achi achi achi, achilia
Nyama nyoro
Naji achi achi achi, achilia
Nyama nono
Naji achi achi achi, achilia
Nyama nono
Mtu nyororo nyorororo
Kanifunga minyororo
Mpogoro mpogoro
Hapo mbele Morogoro
---
---
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Jiachie (Single)
Copyright : (c) 2020.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE