Nibakishie Lyrics
Mmmmmh oh oh oooh mmmh
(Yogo on the Beats)
Yaani, nikikutazama
Naiona dunia wangu peke yangu tu
Jua linapozama, giza likiingia
Natamani nikuine tu
Ooh baby ukisakata rhumba
Sijalewa nayumba
Caterpillar limebomoa nyumba
Mmmh
Natamani nife nizikwe nawe
Shida na raha nawe
Niwe nawe
Mwenzako nimepatwa na homa
Umepasua ngoma
We baba ni noma
Mmmh
Akili imesita imegoma
Mwisho wa reli Kigoma
Mmmh ooh ooh
Oh baby (Nibakishie)
Usinipe vyote mie (Nibakishie)
Utaniua (Nibakishie)
Kwa iyo roho yangu (Nibakishie)
Oh baby (Nibakishie)
Usinipe vyote mie (Nibakishie)
Utaniua (Nibakishie)
Kwa iyo roho yangu (Nibakishie)
Ooh baby
[Alikiba]
Nishaharibu koki ya mapenzi
Acha nilowe
Pacha wangu ni wewe
Tunamatch sare sare
Nitazurura kulilinda penzi
Kwa ndumba na chale
Tetere nipe mchele
Mzoga wake mwewe
Ooh, basi nikabidhi
Ooh moyo
Sitopunja wala kuupima
Aiyayaya
Haya nishaka ganzi na kichomi kuchoma
Mwili mzima wa tetema, ooh baby
Baby, umetekenya ngoma
We mama ni noma (Noma)
Akili imesita imegoma
Mwisho wa reli Kigoma
Kigoma, Kigoma ooh ooh
Oh baby (Nibakishie)
Usinipe vyote mie (Nibakishie)
Utaniua (Nibakishie)
Kwa iyo roho yangu (Nibakishie)
Oh baby (Nibakishie)
Usinipe vyote mie (Nibakishie)
Utaniua (Nibakishie)
Kwa iyo roho yangu (Nibakishie)
Ooh baby, Ooh baby eeh
Sio na ndio, na ndio eeh baby
Baby, aah ndio baby
Sio, Yogo on the beat
Na ndio, na ndio, I see you, I see you
I love you baby
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Nibakishie (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NANDY
Tanzania
NANDY aka The African Princess real name Faustina Charles Mfinanga (born Novemb ...
YOU MAY ALSO LIKE