You Better Go Lyrics
Konde boy call me number one
Baby your eyes on my phone
Yani utadhani langu sexy sexy
Hulioni yeah
Always on my phone
Unatazama nani anae nitext text
Ajabu humuoni
You better know ouuh
Upendo wangu umeugeuza fimbo
Haya ni mapenzi sio ulimbo
Matusi yamekuwa wimbo
Hadi namiss kuwa single
Moyo unapenda amani kwanza
Kisha witu vya thamani
Why umalizi ukianza
Kama tupo mahakamani
You bette go (you bette go)
Babe i’ll let you go
You bette go
Babe i’ll let you go
You bette go
Babe i’ll let you go
Sijakupenda unitendee
You bette go
Babe i’ll let you go
Uende ama niendee
You bette go
Babe i’ll let you go
Hadi namiss kuwa single
Yeah
Mwenzenu nina kichwa cha nyoka
Siwezi mzigo wa mawazoo
Ninacho hofia meno yatanitoka
Nguvu za kusukumana si nazo
Nani kakuchoma mkuki
Mbona damu zinanivujia mimi
Na kukucheat sikumbuki
Babe utaniamini lini
Furaha imepotea
Kil akitu kwako nakosea
Ooouuuhh uuh hujitetea
Hadi nishaanza kuzoea
Moyo unapenda amani kwanza
Kisha vitu vya thamani
Why umalizi ukianza
Kama tupo mahakamani
You bette go (you bette go)
Babe i’ll let you go
You bette go
Babe i’ll let you go
You bette go
Babe i’ll let you go
Sijakupenda unitendee
You bette go
Babe i’ll let you go
Uende ama niendee
You bette go
Babe i’ll let you go
Hadi namiss kuwa single
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
HARMONIZE
Tanzania
Harmonize, born Rajab Abdul Kahali on 3 October 1991 in Mtwara, Tanzania, is a Tanzanian singer ...
YOU MAY ALSO LIKE