Home Search Countries Albums

Tomorrow

MAUA SAMA

Tomorrow Lyrics


Akili haitembei, ubongo ume’scratch unakwama kwama
Moyo ume’delay, nikitamani usiende mbali
Upweke nao kwangu umekuwa jirani
Mi mtumwa wa penzi lako imenitoka imani
Kweli umeniweza
Ni kama ndumba umenitengeneza
Nashindwa sema kujieleza
Moyo kupenda na kujitesa mwenyewe
Ama hisia zangu haziongei
Hunielewi ninachotaka
Hizo zunguusha delay
Si useme basi nikuite kaka

Nangoja tomorrow (aaaeeeh)
Nangoja tomorrow (aaaeeee)
Leo giza totoro (aaaeeehhh)
Totoro totoro
Nangoja tomorrow (aaaeeeh)
Nangoja tomorrow (aaaeeee)
Leo giza totoro (aaaeeehhh)
Ndo utaja nirudhia (aaaee yaaah)

Umevuruga mito nyendo sina
Nakosa maneno kinywa kimya
Wanipa mateso unavyoringa
Kama penzi lako levi niko tilalila
Mara subiri tena unanichana don’t feel alone ukweli nambie
Kama mimi najidanganya toto na koni sorry nambie
Umeniweza
Ni kama ndumba umenitengeneza
Nashindwa sema kujileza
Moyo kupenda ana kujitesa mwenyewe

Ama hisia zangu haziongei
Hunielewi ninachotaka
Hizo zunguusha delay
Si useme basi nikuite kaka

Nangoja tomorrow (aaaeeeh)
Nangoja tomorrow (aaaeeee)
Leo giza totoro (aaaeeehhh)
Totoro totoro

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Cinema (Album)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

MAUA SAMA

Tanzania

MAUA SAMA  is an artist from Tanzania ...

YOU MAY ALSO LIKE