Crazy For You Lyrics

Penzi Mbio Za Sakafuni Ukingoni
Ndio Hapa Nilipo Sasa
Wasije Kurubuni Kinafulani
Usiwaruhusu Kabisa
Anda If I Fight.. I Fight for You Darling
Me I go Do Anything for You Sweety
Kua Nawe Mpenzi Ni Baraka Nilizobarikiwa Na Maulana
Penzi Kioo Twajiangalia Tukicheka Cheka Tunavyofanana
Love Is the Beautiful Thing Sijui Kwanii Hatukujuana Mapema
Unavyonipenda Siamini Hivi Kwanini Hatukuana Mapema
I'm Crazy for You Baby
Crazy for you uuh
I'm Crazy for You Baby
Crazy
I'm Crazy for You Baby
Crazy for you uuh
I'm Crazy for You Baby
Crazy
Mi na Ye Tunaendana Sare Sare
Ananipandisha Mlima Hadi Kilele
Mmh mmh Sare Sare Yeeeh Yeeaah
You Got Me Doing Things I Never Do
Sina Cha Kubisha Mimi Kwako Ni Bwege Tu uuh
Kua Nawe Mpenzi Ni Baraka Nilizobarikiwa Na Maulana
Penzi Kioo Twajiangalia Tukicheka Cheka Tunavyofanana
Love Is the Beautiful Thing Sijui Kwanii Hatukujuana Mapema
Unavyonipenda Siamini Hivi Kwanini Hatukuana Mapema
I'm Crazy for You Baby
Crazy for you uuh
I'm Crazy for You Baby
Crazy
I'm Crazy for You Baby
Crazy for you uuh
I'm Crazy for You Baby
Crazy
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Crazy For You (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
AISHA
Tanzania
Aisha also known as Bi Aisha is an artist from Tanzania signed under Kwetu Studios. ...
YOU MAY ALSO LIKE