Home Search Countries Albums

Never Ever

MAUA SAMA

Never Ever Lyrics


Baby all I want is for you to be here
If sun goes down you know Imma still be here
Penzi la ujazo lijae mpaka pomoni
Wawili kama macho, only me and you (me and you)
Nishajitoa mie Sadaka, nitakufuata kila Kona
Kama Gari ndiyo lishawaka, usijali ata wakinon'gona
Future yetu ndiyo ishajengeka, kwa mbali kama naiona
You're my one and only true love, nisha-verify we ni noma

Never ever ever ever leave you alone
Nitakung'ang'ania mpaka mwisho
Never ever ever ever leave you alone
Wewe na me, niwe na wewe mpaka kifo
Never ever ever ever leave you alone
Baby mpaka mwisho
Never ever ever ever leave you alone
Oooh oooh yeeeah

Umeniganda -Ganda, kuku usiniache kifaranga
Umeniwa-wa-washa, kama ni nazi ishakoleaga
KaMoyo kangu umeshakateka
Usije niacha me pekeyangu nitateseka
Ukiwa mbali natetereka, ubaridi unavyoniganda natetemeka
Nishajitoa mie Sadaka, nitakufuata kila Kona
Kama Gari ndiyo lishawaka, usijali ata wakinon'gona
Future yetu ndiyo ishajengeka, kwa mbali kama naiona
You're my one and only true love, nisha-verify we ni noma

Never ever ever ever leave you alone
Nitakung'ang'ania mpaka mwisho
Never ever ever ever leave you alone
Wewe na me, niwe na wewe mpaka kifo
Never ever ever ever leave you alone
Baby mpaka mwisho
Never ever ever ever leave you alone
Oooh oooh yeeeah

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Cinema (EP)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

MAUA SAMA

Tanzania

MAUA SAMA  is an artist from Tanzania ...

YOU MAY ALSO LIKE