Atafanya Lyrics

You better save my number
You better save my number
You better save my number
Kuna jambo Mungu atafanya
I say
Time will tell
Kuna jambo Mungu utafanya
Mungu utafanya
I say
Time will tell
Kuna jambo Mungu utafanya
Mungu utafanya
Nitauchukua muda
Magotini pako
Atakama sijaona bado
Atakama sijaona bado
Uwe Alfa wa mwanzo wangu
Na uwe Omega wa mwisho wangu
Hivi mi nilivyo leo
Sivyo nitavyo kuwa kesho
Kuna jambo jipya
Bwana atafanya
Hivi mi nilivyo leo
Sivyo nitavyo kuwa kesho
Kuna jambo jipya
Bwana atafanya
Lalalalala
Ulalalalala
Lalalalala
Ulalalalala
Lalalalala
Ulalalalala
Lalalalala
Ulalalalala
Save my number
You better save my number
Save my number
Kuna jambo Mungu atafanya
Nitasubiria
Majibu yangu
Atakama yamechelewa
Ouyee yeyeee
Nitangojea
Mahali hapa
Mchana na Usiku
Ouyee yeyeee
Najua hauwezi
Mwacha mwenye haki
Wako aangamie
Yeye, yeye
Mtu akimgusa
Kagusa mboni ya
Jicho lako We
Hivi mi nilivyo leo
Sivyo nitavyo kuwa kesho
Kuna jambo jipya
Bwana atafanya
Hivi mi nilivyo leo
Sivyo nitavyo kuwa kesho
Kuna jambo jipya
Bwana atafanya
Lalalalala
Ulalalalala
Lalalalala
Ulalalalala
Lalalalala
Ulalalalala
Lalalalala
Ulalalalala
Save my number
You better save my number
Save my number
Kuna jambo Mungu atafanya
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Copyright : Copyright ©2025 Mathias Walichupa. All rights reserved
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE