Mii Lyrics
Limewaka penzi letu mi amor
Mpaka sasa nimeshinda shindano
Sinyorita langu huba te amor
Shata shata nimefika kikomo ooohh
Ooh halleluyah, nampenda huyuuu
Napata furaha, wakwangu huyuuu
Ooh halleluyah, nampenda huyuuu
Napata furaha, wakwangu huyuuu
Roho yangu mii mii
Tamu yangu mii mii
Roho yangu mii mii
Tamu yangu mii mii
Roho yangu mii mii
Tamu yangu mii mii
Si unajua raha ya nyama kutafuna
Sio kuonja na kutema
Usirunusu moyo kuuchoma chomaa
Wakaja pata la kusema
Ooh baby, ooh baby ukinimiss niite me
Niite me, niite me
Me nadekeza sikaripiii
Ooh halleluyah, nampenda huyuuu
Napata furaha, wakwangu huyuuu
Ooh halleluyah, nampenda huyuuu
Napata furaha, wakwangu huyuuu
Roho yangu mii mii
Tamu yangu mii mii
Roho yangu mii mii
Tamu yangu mii mii
Roho yangu mii mii
Tamu yangu mii mii
Ooh halleluyah, nampenda huyuuu
Napata furaha, wakwangu huyuuu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE