Home Search Countries Albums

Mwema Lyrics


Ooh nanana

Bwana wewe ni mwema
Bwana wewe ni mwema
Ooh bwana ah wewe ni mwema
Ooh bwana  wewe
Bwana wewe ni mwema

(Bwana wewe ni mwema
Bwana wewe ni mwema)
Bwana wewe ni mwema
(Bwana wewe ni mwema
Bwana wewe ni mwema)
Tena bwana wewe waweza
(Bwana wewe ni mwema)
Wewe waweza
(Bwana wewe waweza)
Kutenda mambo makuu bwana
(Bwana wewe waweza
Bwana wewe waweza)

Nikihesabu hatua za maisha yangu naona kweli
Wewe bwana ni mwema
Nani angeifuta aibu huzuni niliyokuwa nayo
Kweli we bwana ni mwema
Bwana ni mwema
(Bwana wewe ni mwema)
I glorify your name
(Bwana wewe ni mwema)
Ulionekana dakika ya mwisho
(Bwana wewe ni mwema)
Nilipochoka nilipokata tama
(Bwana wewe ni mwema)
Ndipo nikaamini wewe waweza
(Bwana wewe waweza
Bwana wewe waweza)
Wewe waweza bwana
(Bwana wewe waweza
Bwana wewe waweza)

Hesabu za mambo, uliyotenda hazielezeki hazielezeki
Upendo wako ni wa ajabu hauelezeki  hauelezeki
Hesabu za mambo, uliyotenda hazielezeki hazielezeki
Upendo wako ni wa ajabu hauelezeki  hauelezeki
Kweli we ni mwema
(Bwana wewe ni mwema
Bwana wewe ni mwema)
Asante kwa yote umefanya
(Bwana wewe ni mwema
Bwana wewe ni mwema)
Kweli hakuna jambo usiloweza
(Bwana wewe waweza)
Nakuamini
(Bwana wewe waweza
Bwana wewe waweza)
Hata liwe gumu la kushindikana kwa wote
(Bwana wewe waweza)
Oh nananana
Iyeyeye
Oh nananana

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Mwema (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

MATHIAS WALICHUPA

Tanzania

Mathias Walichupa is a gospel artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE