Home Search Countries Albums

Unanipatia

HANSTONE

Unanipatia Lyrics


La la la la la la la
La la
Haa

Nitasoma kwa zaburi
Ama wagakatia aaah
Tuwakemee vizuri
Penzi wanolinyatia aaah
Huba tulifunge kufuri
Wakose pa kupitia aah
Mbona wataipata sifuri
Waishike mikia aah
Mi nimenyoosha mikono
Mpenzi nimelipigiaa salute (ooh mama)
Nai nishaweka mgomo
Hata wanishikie bunduki (ooh mama)
Umeniziba mbomo
Nala asali ,lifata nyuki (ooh mama)
Penzi umeweka mshono
Waje na nyembe halitatuki (ooh mama)
Tugalegale tu kitandani
Umwage na maua mauaa
Njoo ulalelale kifuani
Kuku ukinicharua charuaa
Ile michezo ya kitandani
Mpenzi unajuaa
Unaniachaga taabani
Kama nguo umeikamua yayaa
Ouh khabibi
Nishaziba sikio
Nishafumba macho
My baby, nguoni cha nguoni kikulacho
Ow uwaridi
Hauna mwengine zaidi yako
Na ninafaidi
Inaendana saidi yako

Unanipatia mpenzi
Kipenzi change cha ngama
Unanijulia mpenzi
Kwengine intake nini mie
Unanipatia mpenzi
Oooh unanijuliaa
Unanijulia mpenzi

Barua alizotumwa njiwa, aniletee
Zimenifikia
Ila imekubaliwa yako pekee
Na imesahishiwa munzi iwangu
Nakupa rungu ulinde lindo wasivamie
Mpenzi wangu, ongeza utundu
Zidisha maringo wasiniibie ouh
Mi kisu cha bucha (bucha)
Na nina makali ya kukata ng’ombe mzima
Usiweke kucha (kucha)
Itakua ni hatari, utaukata mkono mzina
Ntazichanja chale mwilini mwangu
Uvune asali mwilini mwangu
Na iisiishie pale safari yangu
Unifikishe
Hii mama
Mbona wataota moto mchana kweupe
Pepe pepe peee
Penzi linazidi joto naomba unipepee
Pepe pepe peee
Tugalegale tu kitandani
Umwage na maua mauaa
Njoo ulalelale kifuani
Kuku ukinicharua charuaa
Ile michezo ya kitandani
Mpenzi unajuaa
Unaniachaga taabani
Kama nguo umeikamua yayaa
Ouh khabibi
Nishaziba sikio
Nishafumba macho
My baby, nguoni cha nguoni kikulacho
Ow uwaridi
Hauna mwengine zaidi yako
Na ninafaidi
Inaendana saidi yako

Unanipatia mpenzi
Kipenzi change cha ngama
Unanijulia mpenzi
Kwengine intake nini mie
Unanipatia mpenzi
Kwengine intake nini mie
Unanipatia mpenzi
Oooh Unanijulia
Unanijulia mpenzi

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2016


Album : Unanipatia (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

HANSTONE

Tanzania

Hanstone is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE