Jinadi Lyrics
Nidekeze nipate raha duniani
Nidekeze nijirimbwase na mimi
Nichombeze nikolekeze chumbani
Nilambishe nipate utamu wa sukari
Nkiwa nawe
Mi nataka uninogeshe utamu wa karanga mdomoni
Nitakupa na kachori za kwa azizi mtongani
Biryani kwa sele bonge nibebe
Vingunguti na kyembe mbuzi tutembee
Mi nataka nijinadi
Kwako naba nijinadi
Nipe yote nijinadi
Mi nataka nijinadi
Waite wenzako tufanye sherehe
Mi nataka wajue ka niko na we wee
Baby it’s you you you you
The one I love
Baby it’s you you you you
The one I love
Leo tujiweke wazi watuons
Wasiotupenda wakoms
Kuanzia leo your not lonely
Your my baby
Leo tujiweke wazi watuons
Wasiotupenda wakoms
Kuanzia leo your not lonely
Your my baby
Ah, leo ndo ile siku nakuvisha na shela
Leo naachana na usela
Baby you know me better
Me ni bonge la bwana
Halafu go better
Yani kwakifupi naacha kusizi
Yani kwanzia leo mazes niko busy
Maana mama yeni keshaweka ulinzia
So I’m busy
Mi nataka uninogeshe utamu wa karanga mdomoni
Nitakupa na kachori za kwa azizi mtongani
Biryani kwa sele bonge nibebe
Vingunguti na kyembe mbuzi tutembee
Mi nataka nijinadi
Kwako naba nijinadi
Nipe yote nijinadi
Mi nataka nijinadi
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Jinadi (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE