Attention Lyrics
Yeza man
Zoooombie
Umetoka kwenu bush nakuona saivi unajiona
Una force kijipost post na hakuna kitu naona
Wewe sio wa kwanza kukupenda
Naweza kukwacha ukaenda
Ukitaka ushindani utaserrender
Surrender utasurrender
Haya haya tia maji ( haya haya tia maji)
Kununua vyako huwezagi ( basi bora unywe maji)
Huna jipya Tena umepauka
Unapenda attention (attention)
Una sifa ona limekushuka Sikupi attention (mmmh)
Attention (weeeh)
Mungu naomba unisamehe
Kwa hili kosa (hili kosa)
Huyu mbwa nimemvumilia hadi nshachoka ( nshachoka)
Nilikaa kimya bubu ukaleta uduanzi
Sasa leo nakujibu upate vifollowers
Kwanza kisu chako butu
Hakinoi, hakikati yaani butututuu
Tukutukutu tuuu
Unajitia mchart huna kitu tu
Unachoniuzi huna kumbukumbu
Ulikuja juzi umekonda Kama mbu
Nikakupa ujuzi kukutoa ukungu
Nikakupa ujuzi kukutoa ukungu
Usilete makuzi kaoshe ma
Huna jipya Tena umepauka unapenda attention ( kwendaaa)
( mxiuuu) attention (ovyoooo)
Una sifa Ona limekushuka
Sikupi attention (iloooo)
Attention (ilooo)
eti nyonyonyo nyong’onyong’o mxiuuu
Haya haya tia maji ( haya haya tia maji)
Kununua vyako huwezagi (basi bora unywe maji)
Huna jipya Tena umepauka
Unapenda attention (attention)
Una sifa Ona limekushuka
Sikupi attention (attention)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE