Show Show Lyrics

Aah aah, utafurahi show, utafurahi show
Oooh ooh, utafurahi show, utafurahi show
Leta debe leta vanga katerina njoo njoo njoo
Ngoma likikosa utaelewa show show
Mswahili mwenzio tena ulijino
Eti shepu ngongingo mi ndo bingwa vigodoro
Tena queen wa upana sio samaki samaki
Swinging yangu bichi kokokoko, nikisikia unaninanga
Naanzisha varangati unyonge kwangu ni mwiko koko
Hapa gusa una say, yaani sio lege lege
Kisa nikupende na we ndo ujifanye Uchebe
Kosa sio kosa nikinuna, utafurahi show
Nitake chips ulete nguna, utafurahi show
Na yakutolea hujatuma, utafurahi show
Nikikuchuna sina huruma, utafurahi show
Ukikuta wanangu wa Temeke, utafurahi show
Oya wahuni wa Tandale, utafurahi show
Mabingwa mpaka Manzese, utafurahi show
Ooooh ooh, utafurahi show
Mwenzenu maneno yameguza nikakuwa
Hata useme leo kesho kosa narudia
Ni mzinga wa Konyagi haunitishi na hizo bia
Kichwa ni kibwenzi sio miwigi kushonea
Ayee ayee ayee mizuka imepanda
Mtafute mumeo kabla kiza hakijatanda
Ayee ayee ayee Bern piga kinanda
Waamshe waamshe walo sanda wakalala
Hapa gusa una say, yaani sio lege lege
Kisa nikupende na we ndo ujifanye Uchebe
Kosa sio kosa nikinuna, utafurahi show
Nitake chips ulete nguna, utafurahi show
Na yakutolea hujatuma, utafurahi show
Nikikuchuna sina huruma, utafurahi show
Ukikuta wanangu wa Temeke, utafurahi show
Oya wahuni wa Tandale, utafurahi show
Mabingwa mpaka Manzese, utafurahi show
Ooooh ooh, utafurahi show
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Show Show (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE