Umenibadilisha Lyrics
Maswali mengi yanini
Si unajua kwako niliteleza
Si unanipangiaa kwa maana
Mwenzako nashindwa kujieleza mmh
Nimeekudhi am sorry baby
Siunapenda kingereza
Simu unanikatiaaa ndo maana
Nakosa muda wa kubembelezaa eeehh
Mimi niko salama, niling’ang’ana mapenzi yamenicost
Inaniuma balaa, kwako sina maana
Si umenikana na tena kwa kupost, si ulinikataa
Niache ning’ae, acha unikatae
Nikiulizwa najibu siko nae
Tena usishangae, huko badaee
Nitapata mwengine
Umenibadilisha weweee
Umenibadilisha weweee
Umenibadilisha weweee
Umenibadilisha weweee
Umenibadilisha weweee
Siku hizi usishike simu
Utakutana na message za kina mobetto
Mara moja moja wanajimalizaga
Utashikwa na presha mamaa
Tena nimekuwa mwalimu
Wa mapenzi yale yale ya sambaloketoo
Ulishindwa kungoja ukanipotezaga
Mapenzi yakanitesa sanaaa
Kumbe nimepiga mimi mbona hujasema
Kavocha cha ngama unanimaliziaa
Hebu piga wewe hukoooo aaayyyaaaa
Nilikukosea nini, mbona hukusemaa
Ukaniandama ukanipanikiaa
Unajiliza nini hukooo aaayaaaa
Mimi niko salama, niling’ang’ana mapenzi yamenicost
Inaniuma balaa, kwako sina maana
Si umenikana na tena kwa kupost, si ulinikataa
Niache ning’ae, acha unikatae
Nikiulizwa najibu siko nae
Tena usishangae, huko badaee
Nitapata mwengine
Umenibadilisha weweee (umenibalisha) sikuwa hivi
Umenibadilisha weweee (badilisha mapenzi ingawa nilikupa mimi)
Umenibadilisha weweee (sikuwa hivi babe nyumbani nachelewa kurudi)
Umenibadilisha weweee (mapombe mengi kwenye begi aah)
Umenibadilisha weweee hapooo
Mmmh mmmh
Lody music on this one
Lupaso kid on the map
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Umenibadilisha (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
LODY MUSIC
Tanzania
Lody Music is an artist from Tanzania. He is best known for his trending song "Kubali". ...
YOU MAY ALSO LIKE