Promise Lyrics
Muda mwingine unanikera unavyouliza maswali
Maneno ya mashoga zako yananifanya nsiwe sawa
Umeshakuwa kibendera kwenye upepo mkali
Ila ndo ivyo penzi lako, me siwezi kunawaa
Wamekufunza Tania mbaya
Kurudi home na umelewa
Na mimi kwako sina baya
Nakusamehe me mwelewa
Wanachukia kwaweli wakiniona nipo na wewe
Na mimi wananikera basi mara moja moja baby nielewe
I wish twende mbali, mbali kote niishi na wewe
Wananinyima rahaaa marafiki zako
Aaaah
Basi talk to me baby, naomba tuwe together
Msosi nimepika na unapoa kwenye meza
Usilewe my baby, utaflow kingereza
Moyo unasita bila we sitoweza
So baby you promise aaaah
My baby you promise aaaah
So baby you promise aaaah
My baby you promise aaaah
Napiga simu unasema uko bize unanieka kwenye giza
Muda mwengine napiga hupokei unakula bata sinza
Wananisifia wakiwa na mimi kwako wananimaliza
Muda mwengine nasali Baba mungu basi atende miujiza
Wanachuka kwakweli wakiniona nipo na wewe
Na mimi wananikera basi mara moja moja baby nielewe
I wish twende mbali, mbali kote niishi na wewe
Wananinyima rahaaa marafiki zako
Aaaah
Basi talk to me baby, naomba tuwe together
Msosi nimepika na unapoa kwenye meza
Usilewe my baby, utaflow kingereza
Moyo unasita bila we sitoweza
So baby you promise aaaah
My baby you promise aaaah
So baby you promise aaaah
My baby you promise aaaah
Lody music on this one
Lupaso kid on the map
Aceblack with the magic fingers, magic fingers
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Promise (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
LODY MUSIC
Tanzania
Lody Music is an artist from Tanzania. He is best known for his trending song "Kubali". ...
YOU MAY ALSO LIKE