Who Lyrics
Wanasema mapenzi uchafu
Ila kwangu nakataa katukatu
Nilishaufanya huo uchafu
Ila bado nikaambulia kiatu
Licha kutupanga kwa mafungu
Niliamini yeye ndo fungu langu
Na nikisema sana eti nina gubu
Wewe nenda akulinde Mola wangu
Licha ya kunifanya dodoki
Kumbebea mapochi yalikuwa mapenzi
Na penzi nilipate kwa tochi
Na uhuru sipati niliambulia ushenzi yeah
Ah ndo tuseme nina bahati mbaya
Ah niyamiss mapenzi
Mola pekee ndo anayejua dawa
Ya kuniponya milele
Ah who, ah haa, ah who
Anayofanya mimi mniombee
Ah who, ah haa, ah who
Anachotaka nipotee
Ah who, ah haa, ah who
Anayofanya mimi mniombee
Ah who, ah haa, ah who
Anachotaka nipotee
Nishafunika pombe
Yale ya nyuma nisione
Mbele nisonge
Ili niepuke kikombe cha mapenzi
Asa vipi niombe mkate nipewe jiwe mie
Niombe za majini nipewe nyoka
Nasubiri fungu langu baba unipe wewe
Na unawaza umpende mengi umfanyie
Muda nawe hana bora akutumie
Na bado utang'ang'ana umhudumie
Ndo mapenzi uwoouwoo
Ah ndo tuseme nina bahati mbaya
Ah niyamiss mapenzi
Mola pekee ndo anayejua dawa
Ya kuniponya milele
Ah who, ah haa, ah who
Anayofanya mimi mniombee
Ah who, ah haa, ah who
Anachotaka nipotee
Ah who, ah haa, ah who
Anayofanya mimi mniombee
Ah who, ah haa, ah who
Anachotaka nipotee
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Who (Single)
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
PLATFORM
Tanzania
Platform is a Bongo Flava recording artist/ Singer/ Songwriter/ dancer and a businessman from Tanga, ...
YOU MAY ALSO LIKE