Ngongingo Lyrics
Ukimwona utasema kasusiwa
Huko nyuma mzee ana ngongingo
Ukimwona utasema kasusiwa
Huko nyuma mzee ana ngongingo
Kiuno, kiuono
Yeah nyuma ngongingo
Kiuno, kiuono
Yeah nyuma ngongingo
Mtoto shida mtoto vita
Mtoto atanifanya kichaa
Mtoto zigo akilitingisha
Macho yananitoka kama taa
Kiuno chake bingingi chapa
Kafungisha mkungu chapa
Macho yake ya ndindindi chapa
Kama kameza kungu wooza
Akitaka kushika chini
Namsakata, wooza
Akiniponza chini kwa chini
Namsakata
Biringita, biringita
Biringita kombora
Biringita, biringita
Biringita kombora
Ukimwona utasema kasusiwa
Huko nyuma mzee ana ngongingo
Ukimwona utasema kasusiwa
Huko nyuma mzee ana ngongingo
Kiuno, kiuono
Yeah nyuma ngongingo
Kiuno, kiuono
Yeah nyuma ngongingo
Wangu wa power wa ma suspender
Usinifuate wakati nina win(Ooh salale)
Bonge la mchuma, rusha mawe rusha verse
Rusha nanga, ooh salale
Oooh mama kiuno, mtoto kakusanya jiwe
Oooh mama kiuno, Leo unakula flamingo(Ooh salale)
Yanoga yanoga yanoga, kula flamingo
Yanoga yanoga yanoga, Africa bolingo
Ukimwona utasema kasusiwa
Huko nyuma mzee ana ngongingo
Ukimwona utasema kasusiwa
Huko nyuma mzee ana ngongingo
Kiuno, kiuono
Yeah nyuma ngongingo
Kiuno, kiuono
Yeah nyuma ngongingo
Cheza kizombie zombie
Kama ngongoti au shtua kama joti
Cheza kizombie zombie
Nishushie za Uganda, chatu kameza mamba
Cheza kizombie zombie
Basi tingisha kama nyavu kwenye soccer
Cheza kizombie zombie
Kama ngongoti au shtua kama joti
Cheza kizombie zombie
Kameza kaitema, amelala kakoroma
Kizombie zombie
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Ngongingo (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE