Home Search Countries Albums

Ekwueme

JOEL MAKECI

Ekwueme Lyrics


Mungu Wetu Ni mweza 
Lazima tumsifu wakati sisi tungali haii
Oooooh yeah tuna Kila Sababu ya 
Kumsujudu Mola 
Kumtolea sifa ya Sifa zetu daima 
Maana kesho yetu ipo mikononi mwake Jehovah

Tuna Kila Sababu ya kumsujudu Jehovah Kila Sababu ya Kumsujudu Baba
Na midomo yetu daima Kumtolea sifa ya Sifa zetu daima 
Maana kesho yetu ipo mikononi mwake Jehovah

Tunashuhudia kuwa wewe Ni Mungu
Nakuonekana kwamba wajue uwepo wa Mungu 
Ushauri tunautoa kwako 
Mungu Ni Ule Janar leo na Milele 
Akitoa pumzi yako ya uhai 
Utakua haupooo
Usicheze cheze na pumzi yake Mungu Muumba
Akitoa pumzi yako ya uhai utakua haupo 

Usicheze na pumzi yake Muumba 
Atakama hutaki yeye ndio mweza yote 
Ukweli usemwe
Kwamba Jua mapema 
Dunia yote Yeye ndiye Bwana 
Ukweli usemwe hatakama huchoma mioyo

Jua Mapema Mungu Wetu ndiye anayejali maisha yetu 
Nani aseme hapana akisema ndio hayupo 
Nani akatae akikubariki 
Akitoa pumzi yako ya uhai usicheze cheze na pumzi yake Muumba
Uwezo wake Ni mkuu sanaar 
Akitoa pumzi yako utakua haupo 

Yeye ndiye mweza yote 
Ukweli usemwe hatakama huchoma mioyo
Jua mapema 
Dunia yote Yeye ndiye Bwana

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Ekwueme (Single)


Copyright : ©2020


Added By : Its marleen

SEE ALSO

AUTHOR

JOEL MAKECI

Tanzania

...

YOU MAY ALSO LIKE