Mungu Wa Neema Lyrics

Sillah
Asante mungu
Kwa kunitunuku music eeh
Nikipiga snare watu wakufa na kiki
Ila na swali moja vipi kuhusu riziki eeh
Maana kitambo saana anauliza shabiki eeeh
Hivi siwezi kutoka mpaka nifanye makiki eeh
Au niende kwa mganga nianze kukata vijiti
Hivi unakumbuka nilikataa shetani
Nikakuamini wewe, nikaweka imani na wewe
Sikujutaa ah nikasema utanipa wewe
Maana hata hawo wachawi wanasema wamepewa na wewe
Ye ye ye nakosea wapi nakwama wapi
Mbona kila kukicha mwanao nazidi fanya mitikasi
Ye ye ye niende wapi nichukuwe wapi
Ulipo weka hiyo furaha yangu niambie basi
Uje basi unipe mapema (mapema)
Mapema mapema (mapema)
Ukishidwa kuja fanya kusema (kusema)
Fanya kuseme (kusema)
Goti kwako napiga tena
Napiga tena natena
Nakungoja wewe mungu wa neema
Mungu wa neema
Wengine wanasema naweza
Kitaa kinanipongeza
Bidii nizidi ongeza naiongeza naiongeza
Wengine wanaponda
Wanasema nakonda
Ila siuachi baba moyo unazidi kungoja
Ye ye ye, he eee
Mungu wa neema
He he he, he eee
Mungu wa neema
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Mungu Wa Neema (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE