Mainda Lyrics
She don’t like me cause she likes my money
Hata na me nimeridhika namwaga madola
Ili tu anipende anataka iphone
Naona watoto wangu wamepata mama bora
Admire namuamisha temeke namleta kinondoni (hapo sasa)
Ya bongo si hapatufai si turuke mamtoni
Akhafupi size ana ninyamanyama mainda kabobea
Anapenda manonize na vinya manyama mainda kakolea
Kukuacha sidhani
Mainda mainda
Mainda mainda (mainda)
Mainda mainda
Mainda mainda
Nataka tuende wote chumbanai
Mainda mainda
Mainda mainda
Mainda mainda (mainda)
Mainda mainda
Mainda mainda
She us so potential, kwenye kazi yake
Akipiga picha mimi mate kutoka
Akipita vigelegele hilo
Shepu lake kama demu wa kishoka
Confidential yani brand yake huko
Madukani huwezi kutaka kopa
Akipiga miselesela na mashoha zake
Hii manzi ogopa
Admire namuamisha atemeke namleta kinondoni (hapo sasa)
Ya bongo si hapatufai si turuke mamtoni
Akhafupi size ana ninyamanyama mainda kabobea
Anapenda manonize na vinya manyama mainda kakolea
Kukuacha sidhani
Mainda mainda
Mainda mainda (mainda)
Mainda mainda
Mainda mainda
Nataka tuende wote chumbanai
Mainda mainda
Mainda mainda
Mainda mainda (mainda)
Mainda mainda
Mainda mainda
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Mainda (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
LODY MUSIC
Tanzania
Lody Music is an artist from Tanzania. He is best known for his trending song "Kubali". ...
YOU MAY ALSO LIKE