Boss It Lyrics
Hujiliza kinyau nyau, fii
Nikupe mfupa unatamani, fisi
Na mademu wa kufunga kijiji
Mtu akiniita kimatharau siji
Voom Honda kumbe sio honda
Kapanda bike ya miti kimeu
Kujifanya ninja kumbe sio ninja
Ujanja wa kuiga kwenye video
Wale madem waloleta utajibu
Sisomi message zao sijibu
Walojifanya moto leo majivu
Bado wenye chuki wanakuja na wivu
Boss it kwani shilingi ngapi
Give me this give me dat
Boss it you wanna know what happened?
If I say no, no discussion
Boss it, Boss it
Boss it, Boss it
Boss it, Boss it
Tulianza na mautani (Boss it)
Na tumetokea gizani (Boss it)
Eeh kama utani (Boss it )
Now we getting money now we shining
Keep calm, keep calm
Drinks bills on me
Keep calm, keep calm
Na break it down
Watu wanakwenda wanakwenda
Pass pass
Ronaldo na mpira chenga kati
Unashangaa hedi imekuwa stranger bas
Don't play boy this is dangerous
Soko ya asubuhi niko juu ya anga
Nabishana na wachawi watoka kuwanga
Alafu nipigie uletee ushamba
Nakufunga wewe na aliyekupa namba
Boss it kwani shilingi ngapi
Give me this give me dat
Boss it you wanna know what happened?
If I say no, no discussion
Boss it, Boss it
Boss it, Boss it
Boss it, Boss it
Tulianza na mautani (Boss it)
Na tumetokea gizani (Boss it)
Eeh kama utani (Boss it)
Now we getting money now we shining
Tulianza na mautani
Na tumetokea gizani
Eeh kama utani
Now we getting money now we shining
Pause atttitude la kiboss
Take a pic post
Tulianza na mautani
Na tumetokea gizani
Eeh kama utani
Now we getting money now we shining
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Slave Become a King (Album)
Copyright : (c) 2020 CMG
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
DARASSA
Tanzania
Sharif Thabit Ramadhan's, better known as Darassa, is a recording artist, performer and songwrit ...
YOU MAY ALSO LIKE