Nipotezee Lyrics
Zile stress maumivu potea
Nishashindwa uvumilivu kuzoea
Eti labda utabadilika nikangojea
Kumbe zidi vimba vichwa wanionea
Sasa niache kidogo(Kidogo)
Sitaki shida mizozo(Mizozo)
Kichwani wala haupogo(Haupogo)
Ushanipotea
Vinono sina makombo(Makombo)
Tena classy kimombo(Kimombo)
Usinivuruge ubongo(Ubongo)
We kaka tembea
Mmmh nipotezeee
Mmmh nipotezeee
Mmmh nipotezeee
Mmmh nipotezeee
Mmmh nipotezeee
Mmmh nipotezeee
Mmmh nipotezeee
Mmmh nipotezeee
Kila nilofanya kwako wala hukucare
Kosa la jana leo unanifokea
Nenda kila la heri nitakuombea(Ombea)
Bado wa kweli kwa Mungu ninamngojea
Sasa niache kidogo(Kidogo)
Sitaki shida mizozo(Mizozo)
Kichwani wala haupogo(Haupogo)
Ushanipotea
Vinono sina makombo(Makombo)
Tena classy kimombo(Kimombo)
Usinivuruge ubongo(Ubongo)
We kaka tembea
Mmmh nipotezeee
Mmmh nipotezeee
Mmmh nipotezeee
Mmmh nipotezeee
Mmmh nipotezeee
Mmmh nipotezeee
Mmmh nipotezeee
Mmmh nipotezeee
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Nipotezee (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
HAMISA MOBETTO
Tanzania
Hamisa Mobetto is a Tanzanian Model Actress Designer & Entertainer. ...
YOU MAY ALSO LIKE