Home Search Countries Albums

Tunapendana

D VOICE

Read en Translation

Tunapendana Lyrics


Eti baby kweli

Usiponiona pumzi inabananana

Eti baby kweli

Unaumisi utamu bananana

Eti baby kweli

Sa ka ndo kivyo kwanini twagombanana

Au ndio ukweli, tamu na chungu

Ndo raha ya kupendanana

Hawajuiii ooooh

Baby raha unazonipa

Wapi unanishika

Na ndio maana mwengine sitaki

Hawajuiii, na nivyopenda sifa aaah

Basi hapa bichwa

Mana nahuwa unanipenda

Na hauniachi ninachotoka niwaambie

Ka unanipenda darli

Hautaki kuwa nami mbali

Bila mimi hauwezi

Basi niambie niwaambie wajue

Ka unanipenda darl

Usiku bila mi haulali

Miye ndo wako mpenzi

Basi niambie ni waambie, wajue

Tunapendana tunapendana

Tunapendana tunapendana

Tunapendana tunapendana

Tunapendana tunapendana

Mimi

Ni mimi hapa

Ni mbossokhan tena

Penzi ni hadithi za sikununu

Iwe kwenye furaha nyakati ngumu

Penzi ni maradhi nishikwe pumu

Nimekupenda we ashki majununu

Usinifiche hadharani baby nichumu

Mengine tuyafanye tukiwa room

Haki ya mungu wallah ukinidhulumu

Bombocraaat nanyonga ndumu ooh wewe

Sitaki nikukwaze usinikwaze

Tukawapa maneno watutangaze

Wengine wanangoja si kugombana ooh wewe

Penzi kwenye kibaba lijaze jaze

Mambo yakinikaba uniliwaze

Leo tulemlenda kesho nyama

Basi niambie ni waambie

Ka unanipenda darli

Usiku bila mi haulali

Bila mimi hauwezi

Basi niambie niwaambie wajuee

Ka unanipenda darl

Usiku bila mi haulali

Miye ndo wako mpenzi

Basi niambie ni waambie, wajue

Tunapendana tunapendana

Tunapendana tunapendana

Tunapendana tunapendana

Tunapendana tunapendana

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2024


Album : (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

D VOICE

Tanzania

D Voice also known as D Voice Giinni is a singeli artist from Tanzania.  ...

YOU MAY ALSO LIKE