Home Search Countries Albums

Who I Am Lyrics


Kuna wanao nikosea
Ila nawaambia I'm sorry
Ili niweze kwenda nao
Sawa, sawa, sawa, sawa

Mi ni wa safari nakwenda
Na nina baba siachi --
Kuna wao wanaonipenda machoni 
Ila moyoni hawajawahi kunipenda

Na nikisema nilipize
Mi siwezi kwa wote wanikwazao
Nimechagua kuishi nao
Kwa amani na upendo 
Ninafungia macho mabaya yao

They will love me later
When I got my paper
They will love me later
When I got my paper

Siwezi kushiba 
Nikamsau mwenye njaa (That's Who I am)
Kipimo cha upendo
Ni kwa vitu vidogo vidogo (That's Who I am)

Siwezi kushiba 
Nikamsau mwenye njaa (That's Who I am)
Kipimo cha upendo
Ni kwa vitu vidogo vidogo (That's Who I am)

[Gemma]
I will love you for you
Will you love me for me 
--
There is power power power power
And love to my soul
Power power power power
Darling don't you know 

I am my future I am my best
I am my first day I am my last
I am my good days I am my bad
- Coz I too I am

Are you looking for your number one
Or you looking for just anyone
Are you looking for your number one
Or you looking for just anyone

They will love me later
They will love me later
--

Siwezi kushiba 
Nikamsau mwenye njaa (That's Who I am)
Kipimo cha upendo
Ni kwa vitu vidogo vidogo (That's Who I am)

Siwezi kushiba 
Nikamsau mwenye njaa (That's Who I am)
Kipimo cha upendo
Ni kwa vitu vidogo vidogo 

Siwezi kushiba 
Nikamsau mwenye njaa (That's Who I am)
Kipimo cha upendo
Ni kwa vitu vidogo vidogo (That's Who I am)

Siwezi kushiba 
Nikamsau mwenye njaa (That's Who I am)
Kipimo cha upendo
Ni kwa vitu vidogo vidogo 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Dunia Nyingine (EP)


Copyright : (c) 2020 The VOA


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

LINEX SUNDAY MJEDA

Tanzania

Linex Sunday Mjeda is a bongo flavour artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE