Home Search Countries Albums

Star

MABANTU

Star Lyrics


Star star star star

Si wanapenda kubang
Unaniletea u star me mwenyewe star
Mama yangu star, Baba yangu star
Hiyo bebe yangu star, ex wangu star
Dj wangu star, mpaka bodyguard star
So usituletee star (star)
Atushobokei u star (star)
Wanangu ma star (star)
Mpaka snitch wangu star (star)
Wewe unaniletea u star (star)
Jirani yangu star (star)
Wenye nyumba wangu star
Mpaka bodaboda star

Kamanisha nini
Hainaga show show
Hainaga shobo wanangu
Hainaga kutubutubu
Hainaga shobo wanangu
Ma sponsa si wanazo doo hainaga shobo wanangu
Nguvu za kiume tunazo sisi hainaga shobo wanangu
Yeah hainaga show show
Hainaga shobo wanangu
Hainaga kujishana
Hainaga shobo wanangu
Dada akipila na bwana ako
Hainaga shobo wanangu
Nawe pila na baba yake
Hainaga shobo wanangu
Mara oh
Madem wa sinza tabata wana U.T.I nyoo
Madem wa chuga kiuno kugimu nyoo
Madem wenibamba wanaomba ocha nyoo
Madem wafupi eti wabishi nyoo nyoo
So usituletee star (star)
Atushobokei u star (star)
Wanangu ma star (star)
Mpaka snitch wangu star (star)
Wewe unaniletea u star (star)
Jirani yangu star (star)
Wenye nyumba wangu star
Mpaka bodaboda star

Oyaa hainaga show show
Hainaga shobo wanangu
Hainaga kujishana
Hainaga shobo wanangu
We ukimpa macho matatu
Hainaga shobo wanangu
Sisi anatupa jicho moja
Hainaga shobo wanangu
Hainaga show show
Hainaga shobo wanangu
Hainaga kutili tili
Hainaga shobo wanangu
Wewe ukimlewesha
Hainaga shobo wanangu
Sie kwa bed tuna mkeshesha
Hainaga shobo wanangu
Unataka gari na hauna salie nyoo
Bwana modogo si unafijambio nyoo
Biga kelele nyingi kama una kalio
Na kama una kalio tingisha hilo fagio, nyoo nyoo
So usituletee star (star)
Atushobokei u star (star)
Wanangu ma star (star)
Mpaka snitch wangu star (star)
Wewe unaniletea u star (star)
Jirani yangu star (star)
Wenye nyumba wangu star
Mpaka bodaboda star
Kamanisha nini
Hainaga shobo wanangu
Hainaga shobo wanangu
Hainaga shobo wanangu

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Star (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

MABANTU

Tanzania

Mabantu Is A Urban Boy Band From Tanzania Consisting Of Muuh Mabantu And Twaah Mabantu ...

YOU MAY ALSO LIKE