Home Search Countries Albums

Nitaubeba

HARMONIZE

Nitaubeba Lyrics


Imagine upo jangwani umepotea
Mchana juani unatembea
Utokapo ni mbali, uendapo ni mbali
Mara ngamia mbebaji akatokea
Nakukushusha mzigo ulio kuelemea
Upate afashali pole na safari
And that what you did to me
Yote tisa ila kumi umenionyesha maana ya upendo
Si kwa maneno bali kwa vitendo
Umeridhika na nilicho nacho
Vyawatu hutileagi macho
Siku nikiwa, sina twalala
Ooh baby twalala
Aah baby before I close my eyes
Namuomba mungu akulinde na akusimamie
We ndio pacha wangu miee
Sikuhizi vipi mbona sikusikii tena
Sikusikii ukilia sikusikii ukisema
Nipo busy na boo, jamani nimeshasema
Nipo busy na baby na msalaba wake

Nitaubeba nitaubeba nitaubeba
Na nitafika nao kiume
Nitaubeba nitaubeba nitaubeba
Na nitafika nao kiume

Imagine hujifahamu umezimia
Umewekewa damu zinaingia
Bomba likafunguka na huwezi hata nyanyuka
Mara daktari wa zamu akaingia
Umepata fahamu una mwangalia
Machozi yanakuanguka unatamani funguka
And that what you did to me
Yote tisa ila kumi
Unanifurahisha kwenye tendo
Haunipi penzi la magendo
Aaah baby before i close my eyes
Me namuomba mungu akulinde
Na akusimamie we ndio pacha wangu miee
Eti sikuhizi vipi mbona sikusikii tena
Sikusikii ukilia sikusikii ukisema
Nipo busy na boo jamani nemeshasema
Nipo busy na baby na msalaba wake

Nitaubeba nitaubeba nitaubeba
Na nitafika nao kiume
Nitaubeba nitaubeba nitaubeba
Na nitafika nao kiume

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Nitaubeba (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

HARMONIZE

Tanzania

Harmonize, born Rajab Abdul Kahali on 3 October 1991 in Mtwara, Tanzania, is a Tanzanian singer ...

YOU MAY ALSO LIKE