Home Search Countries Albums

Mi Amor

WHOZU

Mi Amor Lyrics


Nainua mkono mama
Moyo wangu mweupe ehi
Ishara ya mapenzi mama
Ooohooo mi amor

Baby sinzia kifuani fo fo fo !
Deka leo zamu yako
Naipania kamia yako show
Hakuna kuomba po
Tunayofanya chumbani
Usiweke hadharani wakaona
Kwako mimi abadani tena sishindani mimekoka

Usineweke size ya kidumu
Labda kwenye ndoo oooh (aaah…)
Mimi kwako kama mchungaji
We ndo kondoo
Nikiku, nikiki nikikuonaa
Nahisi rahaa
Kamgonjwa napona
Aii mama
Najidekeza najitamba kwako
Nikikuonaa
Nahisi rahaa
Kamgonjwa napona
Aii mama
Najidekeza Najitamba Kwako
Mi amor, mi amor. Mi amor, mi amor
Mi amor, mi amor. Mi amor, mi amor
Mi amor, mi amor. Mi amor, mi amor
Mi amor, mi amor. Mi amor, mi amor
Mi amor, mi amor. Mi amor, mi amor

Nitazame babe nishike shingoni
Yako mipapaso maruani
Nikumbate unapo nikiss mdomoni
Nilicho onia kwako sikitemi (oh yeah)

Mie natamani leo
Mpaka kesho tusije gombana
Toka zamani niko nawe kufa kufana

Oh baby
Usineweke size ya kidumu
Labda kwenye ndoo oooh (aaah…)
Mimi kwako kama mchungaji
We ndo kondoo
Nikiku, nikiki nikikuonaa
Nahisi rahaa
Kamgonjwa napona
Aii mama
Najidekeza najitamba kwako
Nikikuonaa
Nahisi rahaa
Kamgonjwa napona
Aii mama
Najidekeza Najitamba Kwako
Mi amor, mi amor. Mi amor, mi amor
Mi amor, mi amor. Mi amor, mi amor
Mi amor, mi amor. Mi amor, mi amor
Mi amor, mi amor. Mi amor, mi amor
Mi amor, mi amor. Mi amor, mi amor

Nainua mkona mama
Moyo wangu mweupe eeh
Ishala ya mapenzi mama
Ooh mi amor

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Mi Amor (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

WHOZU

Tanzania

Whozu Andaskoo is a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE