Home Search Countries Albums

Nitasahau Lyrics


(Kimamba on the beat)
The V.O.A

Indazi la vyala 
Hizi ni ziga sungura
Indazi la vyala 
Hizi ni ziga sungura

Zilionipenda na umbali wako
Najiona mtu huru 
Najikwamua kutoka kwenye pango
Nishakuweka kwenye mfeni nikauona usaliti wako
Nishakupimanga imani nikauona usaliti wako

Au labda binadamu kwako kazi
Unilipe uzuri kwa ubaya
Huna heri utavuta shari

Nakuja daily nyumbani
Unayapeleka vijiweni
Tushakuwa ndege tusiofanana
Kwani tunalumbana tunagombana

Kwanini nikusubiri wewe 
Kuifanya furaha yangu 
Nayaanza maisha mapya 
Natembea kwa zake baraka
Na nitasahau yote yaliyopita

Kwanini nikusubiri wewe 
Kuifanya furaha yangu 
Nayaanza maisha mapya 
Natembea kwa zake baraka
Na nitasahau yote yaliyopita

Imeshashindikana kuruka pamoja
Hakuna haja ya kuanzisha hoja
Na sijilaumu 
Sioni kama nimepoteza

Labda tukuwe wote ndoto moja 
Hakuna haja ya kuanzisha hoja
Na kwanini kisa wewe 
Unifanye nione dunia chungu?

Who are you? 
And where you from?
Ulinipa furaha jana 
Leo kaichukua

Au labda binadamu kwako kazi
Unilipe uzuri kwa ubaya
Huna heri utavuta shari

Nakuja daily nyumbani
Unayapeleka vijiweni
Tushakuwa ndege tusiofanana
Kwani tunalumbana tunagombana

Kwanini nikusubiri wewe 
Kuifanya furaha yangu 
Nayaanza maisha mapya 
Natembea kwa zake baraka
Na nitasahau yote yaliyopita

Kwanini nikusubiri wewe 
Kuifanya furaha yangu 
Nayaanza maisha mapya 
Natembea kwa zake baraka
Na nitasahau yote yaliyopita

Yote yaliyopita
I can forget, I can forget 
Everything about you

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Nitasahau (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

LINEX SUNDAY MJEDA

Tanzania

Linex Sunday Mjeda is a bongo flavour artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE