Home Search Countries Albums

Kazi Nyingine

LANG' KATALANG

Kazi Nyingine Lyrics


Kazi nyingine, mara nyingine
Ngoma nyingine, K Lang narudi vingine

Mi ni mwana mpeotevu, narudi home kwa mzazi
Tena ni ishara tosha for real mi mtendakazi
Otile, Masauti, Kelechi collabo nani?
Otile ndo kusema moto wa kuotea mbali

Masauti star, Kelechi ana nyota na watu wanamkubali
Vile tupate hit kutoka kwa Jua Cali
Tano ni nini hatujui labda iko marekani
Kastaafu sidhani, mchezo Kasarani

Acha tuulize kocha kama wako uwanjani
Wakaja Lamba Lolo, wako so unethical
Lakini kwenye charts na views ni so unbeatable
Zimenishika, zimenishika, kam na hiyo mbogi Sufuri ki Senegal
Tukimalizia kati ya K Lang' na Bensoul
Anaandikaga na wino mi naandikaga na pencil

Eti nitafte kazi nyingine
Na kazi yangu ni mziki sina nyingine
Ni kuzungusha kiuno kama mashine
Show nalindwa na bouncer kama wanne

Eti nitafte kazi nyingine
Na kazi yangu ni mziki sina nyingine
Ni kuzungusha kiuno kama mashine
Show nalindwa na bouncer kama wanne

Ni Mungu pekee anaweza kulizima jua
Na akiwasha kumbuka kulizima ni kibarua
Na binadamu ndie anaweza kubagua
Mola hanaga fikira za fitina nishagundua

Heri adui wa kukuonyesha dagger
Kuliko rafiki wa kuja kukesha kwa waganga
Dunia ni daladala pasi na majanga
Mwisho tushuke wote ya abiria na makanga

Huku kwa mziki ni nani anapena namba?
Naskia kuna kieleweke na Tanga Tanga
Kuna wasanii wa bar sabuni panga
Kuna wa kupiga perfume amejipanga

Eti nitafte kazi nyingine
Na kazi yangu ni mziki sina nyingine
Ni kuzungusha kiuno kama mashine
Show nalindwa na bouncer kama wanne

Eti nitafte kazi nyingine
Na kazi yangu ni mziki sina nyingine
Ni kuzungusha kiuno kama mashine
Show nalindwa na bouncer kama wanne

Asante Mola niko back again
Na mashabiki kuniweka kwenye mitabend
Najua nilikuwa hoi very bitter then
Cheki tu naingiza mamikwanja kimamita men

K Lang' umeitwa K Lang' 
Ukamshow K Lang' utese naye UG mpaka Bongo
K Lang' si mdomo, K Lang' si promo
K Lang' ni yule dingi mmoja wa michongo

Na show biz nimeipa mipango
Hata ka wengine walitafta mipango
Ya nini? Ya kunifungia milango
Aki wasemehe Baba sinanga maringo

Eti nitafte kazi nyingine
Na kazi yangu ni mziki sina nyingine
Ni kuzungusha kiuno kama mashine
Show nalindwa na bouncer kama wanne

Eti nitafte kazi nyingine
Na kazi yangu ni mziki sina nyingine
Ni kuzungusha kiuno kama mashine
Show nalindwa na bouncer kama wanne

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Kazi Nyingine (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

LANG' KATALANG

Kenya

...

YOU MAY ALSO LIKE