Wataki Nibonge Lyrics
Wahenga kwa tracki
Sauti ya West hio
Wataki, wataki
Lets get it!
Eh! Eh Eh!
Wataki nibonge
Niwapake matope vipofu waone
Wataki niroge
Niwachanue vipara marasta I warned them
Wataki hii compe
Vikombe nabeba kwa game ni cautious
Wataki niblowe
Kijana wa ghetto maskini aoshe
Ah wataki, waone
Ah wataki, I warned them
Ah wataki, kikombe
Ah wataki, tuoshe
Wataki nibonge
Niwapake matope vipofu waone
Wataki niroge
Niwachanue vipara warasta I warned them
Wataki nibonge, washakana nabii
Wataki niokolee, kanikana na kiss
Wataki hii compe juu kana ni mzii
Mamende maroaches, mbum mbum me
Game over, washashika makali
But still sober, Ha! Ha!
Piga show stopper mada kila rapper
Post mortem Pah! Pah!
Wani-time proper, waniwache nianguke
Kwa wrist mbota, Ha! Ha!
Hio watangoja, hiyo patience pays
But si wagonjwa
Wa-wanitaki taki kwa collabo me
Na mhenga kando double trouble we
Waogope kwamba nitawafanya ka vile
Scar hutu-Munga kila every track
Wataki nibonge
Niwapake matope vipofu waone
Wataki niroge
Niwachanue vipara marasta I warned them
Wataki hii compe
Vikombe nabeba kwa game ni cautious
Wataki niblowe
Kijana wa ghetto maskini aoshe
Ah wataki, waone
Ah wataki, I warned them
Ah wataki, kikombe
Ah wataki, tuoshe
Wataki nibonge
Niwapake matope vipofu waone
Wataki niroge
Niwachanue vipara warasta I warned them
Sauti ya West na inasikika hadi East bado
Yaani Eastlando
Success nini iko West na hunikiss bado
Turn me on tuweke sheets kando
I see my life in 3D, ka nimedunga Canon
No compare nigga, please stand off
Napendwa na umati kama freaky bundles
Ju ya kazi kukazia, ni mi ni sacco
I see the goal in my eyeballs
Christ above said he died for
So mziki kwangu ndio riftle
And think it well am not your rival
Ati heri wasikize mugithi kuliko we
Ni sawa we, kesho itafika subira we
Uradi, yaani we
Wataki nibonge
Niwapake matope vipofu waone
Wataki niroge
Niwachanue vipara marasta I warned them
Wataki hii compe
Vikombe nabeba kwa game ni cautious
Wataki niblowe
Kijana wa ghetto maskini aoshe
Ah wataki, waone
Ah wataki, I warned them
Ah wataki, kikombe
Ah wataki, tuoshe
Wataki nibonge
Niwapake matope vipofu waone
Wataki niroge
Niwachanue vipara warasta I warned them
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Wataki nibonge (Single)
Copyright : (c)2019 UDS Music.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE