Kuliko Jana Lyrics

Bwana ni mwokozi wangu
Tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi
Si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Nakuomba Mungu uwasamehe
Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
Na maadui wangu nawaombea maisha marefu
Wazidi kuona ukinibariki
Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana
Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika
Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana
Walimsulubisha Yesu Messiah bila kusita
Ooh, na
Bwana ni mwokozi wangu
Tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi
Si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Wewe ndio nategemea
Kufa kupona baba nakutegemea (Amen)
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea (Ooh-ooh, yeah)
Wewe ndio nategemea (Amen)
Kufa kupona baba nakutegemea (Oh-oh)
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea (Eh, wewe ndio nategemea)
Wewe ndio nategemea
Kufa kupona baba nakutegemea (Eh, bwana)
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea (Eh, maisha yangu yote)
Wewe ndio nategemea (Kwa nguvu zangu zote)
Kufa kupona baba nakutegemea (Nakutegemea)
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea (Oh-oh-oh-oh)
Na bwana ni mwokozi wangu
Na tena ni mkombozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi
Si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko jana (Kuliko jana)
Kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Kuliko jana (Kuliko jana)
Kuliko jana (Kuliko jana)
Yesu nipende leo kuliko jana
Wewe ndio nategemea (Wewe)
Kufa kupona baba nakutegemea (Wewe)
Chochote kitanikatsia (Uh-huh)
Kuingia mbinguni utaniondolea
Wewe ndio nategemea (Ooh)
Kufa kupona baba nakutegemea (Nakutegemea)
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea
Na bwana ni mwokozi wangu (Amen
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2016
Album : Live and Die in Africa (Album)
Copyright : (c)2016
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
SAUTI SOL
Kenya
Sauti Sol is a Kenyan afro-pop band formed in Nairobi by vocalists Bien-Aimé Baraza, Willis C ...
YOU MAY ALSO LIKE