Home Search Countries Albums

Ulishindwa

OTILE BROWN Feat. K2GA

Ulishindwa Lyrics


Najua nampenda si utani
Sikutamani kumtenda tangu zamani
Ila unafahamu kwamba mimi nilimweka ndani
Ndo maana hata ukikaa naye tu chumbani

Ewe kwenda someee
Wewe ni mwongo sana
Unajifanya unampenda
Sababu niko nayee
Haiyayayaya some wewe
Haiyayayaya niko naye

Ulinifanya niwe mjinga
Tena tapeli wa mapenzi
Kwenye swala la mapenzi
Unataka  tu niwe kayumba
(oooh baba yeah we Tuga)

Ooh nini nanana mi ndo ticha wa haba
Ooh nini nanana wewe kwako ulishindwa
Sasa vipi tena maneno maneno unaongea
Asa vipi tena kunung'unika kwako moyo unaniuma some

Naamini walaghai ata penzi ninaona kama halifai
Ndo maana najidai ata nikiwa naye nani nainai
Ndo maana nipo na yeye chumbani  
Nikikaa nikiwaona naye najiwa sawazisha

Ndo maana nakwambia ata wewe haufai
Ungekuwa rafiki mzuri mama, ungeniletea na zawadi
Ungemleta kwangu chumbani
Alafu nikwambie vitu fulani

Si machoche chuchuria
Kumbe moyo wako unaumia
Yaani kama niko naye zawadi nitakuletea
Kadi nzuri nipo naye,kadi nzuri ooh ya ndoa

Oooh wee
Ulimchezea kwangu mi aaah
Sawa, ulimchezea kwangu hajapotea some

Ooh nini nanana, mi ndo ticha wa haba
Ooh nini nanana, wewe kwako ulishindwa
Sasa vipi tena maneno maneno unaongea
Asa vipi tena kunung'unika kwako moyo unaniuma some

Unajifanya tena mjanja
Tena mjanja tu wa mapenzi
Kwenye swala la mapenzi mimi naamini tuwe kayumba
Oooh ila  tu na wewe, we muoe basi
Ila tu siongei sana muoe basi

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Ulishindwa (Single)


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

OTILE BROWN

Kenya

Otile Brown real name Jacob Otieno Obunga (born on 21st March 1994) is an urban contemporary musicia ...

YOU MAY ALSO LIKE