Je Lyrics
Pretty face, skinny waist
Everything that would get
A smile on his face
Anipende tuende mi na yeye
Tuendeleee
Anishike mkono
Asiniachilie
Lakini je, na mimi je
Lakini je
Nani atanipenda
Bila kunitenda
Bila mengi ya kusema
Na mi sitaki tena kuteseka no
Na mimi je?
Nani atanipenda wee
Bila mi kunitenda wee
Nani atanipenda
Bila mengi ya kusema
You are away everyday
In my heart doesn't pay
Is it too late to say
You are on the way
Nishike mkono
Usiniachilie
Lakini je, na mimi je
Lakini je
Nani atanipenda
Bila kunitenda
Bila mengi ya kusema
Na mi sitaki tena kuteseka no
Na mimi je?
Nani atanipenda wee
Bila mi kunitenda wee
Nani atanipenda
Bila mengi ya kusema
Na mimi je
Na mimi je?
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Je (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BRIDGET BLUE
Kenya
Bridget Blue ( 20 yrs ) is a singer, songwriter & make up artist from Kenya. She is ...
YOU MAY ALSO LIKE