Home Search Countries Albums

Nataka Kuwa Nawe

LANG' KATALANG Feat. CHEGE

Nataka Kuwa Nawe Lyrics


Hahaha
Kim check it out
K to the A.T.A,  L.A of couse na L.G
They call me K Lang' 

Ah
Mi si mutumwa na bado naweza technique
Niko na super camera naweza take pic
Nachoma Benz, Caldina naweza take ship
Mchaka hectic, na-tooth pick ki-pinic 

Niko na pesa nakam na Bobby
Mbele crew, machachari ka Baha na Govi
Kuna kacheda nacatch na Mobi
Acha nipitie, Tina kam na Dobi

Kama watoto 
Nataka kuwa na wewe
Kwa ma' watoto wangu
Heee....

Oooh kama watoto
Me nataka kuwa na wewe
Kama watoto wangu
Me nataka kuwa na wewe

Ah 
Hutanimiss niko nalo kwenye game
Promoter akileta biz, wapige nduru madem
Na ile time hakunaga njia, muziki inashindwa fame
Kila time nikuskize ukiwa na problem

And I swear siwezi kubonga mbaya 
Na siwezi kukudiss ni heshima una require
I come in peace ata kama natema fire
Namaliza watu please Mustapha sibongi mbaya

Ah technically am an outgoing bachelor
Of course physically am a todler kafella
With a version of my own kiss manela
Dema washike tei hio pesa na vanilla

Njoo nikupige intro to mama
Na nikutambulishe kwa mzae
Doh nikupe ka audience wa drama
Na time tuko serious watoto tuzae

Kama watoto 
Nataka kuwa na wewe
Kwa ma' watoto wangu
Heee....

Oooh kama watoto
Me nataka kuwa na wewe
Kama watoto wangu
Me nataka kuwa na wewe

Ah hesabu yako usiku 
Napiga bei ya mafuta ya transformer
Na bado ganji za chana nasa niki go former
Wacha ning'are ndo nije niwashe nare
Nairobi mpaka Kitale ndo nipige matofali aah

This ma gal and am proud of it
Maodinare, proud of it
Mavitu nare proud of it
Ama vipi wagenge si mko proud of it

Oooh she is  ma gal and am proud of it
Maodinare, proud of it
Mavitu nare proud of it
Au vipi wagenge si mko proud of it

Mama watoto 
Nataka kuwa na wewe
Mama watoto wangu
Heee....

Oooh baba watoto
Me nataka kuwa na wewe
Baba watoto wangu
Me nataka kuwa na wewe

Mama watoto 
Nataka kuwa na wewe
Mama watoto wangu
Heee....

Oooh baba watoto
Me nataka kuwa na wewe
Baba watoto wangu
Me nataka kuwa na wewe

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Nataka Kuwa Nawe (Single)


Copyright : All rights to the owner.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

LANG' KATALANG

Kenya

...

YOU MAY ALSO LIKE