Nipumzike Lyrics

Aiiiy
Chalda on this one
Ooh Shuga upendo ni mshumaa
Mi kama ningejua nsingefuata upepo
Kumbe ulinizuga ingawa nilifurahi
mwenyewe nilifurahi skujua ya keeshooo
Inanihuzunisha nnachopata skutarajiaaaaah
leo vya birika navipata kwenye siniaaaaah
Najipumzisha nsijedhohofu naachiaa
inanihuzunisha ila nafanya tu nisiume nahisi nahitaji nafasi
Nipumzike eh nipumzike Niimechooookaaa
Nipumzike nami nipumzike eh
Nipumzike eh nipumzike
Nipumzike nami nipumzike eh
Na hata Mama alinambia vita ya mapenzi huaga siri
we vumilia vumilia ukishindwa bwaga
Na usiwe jangiri ukafosi maji kupanda mlima
Nmevumilia nlisubiria sa nayabwaga
Kwa nnayoyaona acha niusemee moyo wangu nitazoea
Sa ntaanza lala peke yangu
Inanihuzunisha nnachopata skutarajiaaaaah
Leo vya birika navipata kwenye siniaaaaah
Najipumzisha nsijedhohofu naachiaa
Inanihuzunisha ila nafanya tu nisiume nahisi nahitaji nafasi
Nipumzike eh nipumzike Niimechooookaaa
Nipumzike nami nipumzike Eh nimechokaa
Nipumzike eh nipumzike eh Nimechookaaa
Nipumzike nami nipumzike aaaaaah
(Nipumzike eh nipumzike eh Nimechookaaa
Nipumzike nami nipumzike aaaaaah)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nipumzike (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
CARLIE BRONZE
Tanzania
Carlie Bronze is a Singer | Song writer | Performer from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE